RECIPE SAFI KABISA YA KUPIKA KITAFUNWA AINA YA KITUMBUA KWA MCHANGANYIKO WA UNGA WA MCHELE NA UNGA WA NGANO OOOHH LADHA SAFI SANAA
MAHITAJI
250 gram unga wa ngano
120 gram unga wa mchele
1kijiko kidogo cha chai hiliki ya unga au unaweza saga mbegu ikawa chenga chenga
120 gram sukari
120 gram maji ya vugu vugu
nusu kijiko kidogo cha chai amira ya chenga
JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI
Chukua maji ya vugu vugu changanya na amira ya chenga, sukari pamoja na hiliki.
Chukua unga wa ngano na unga wa mchele changanya pamoja