CHINI KABISA MWISHO WA BLOG ANGALIA RECIPE YA KEKI IPO TAYARI
JIFUNZE KUPIKA CHAKULA HIKI KITAMUA NA 
RAHISI SANA KWA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI, NYAMA YA MBUZI NA VIAZI 
ULAYA KWA MTINDO HUU WA MAPISHI UNAWEZA PIKA NYAMA YA KUKU, SAMAKI AU 
NYAMA YA NG,OMBE
MAHITAJI
JINSI YA KUANDAA FATILIA VIDEO YA MAFUNZO HAPO CHINI
Huu ni muonekano wa picha ya vyakula kwaajili ya maandalizi 
Huu ni muonekano wa picha ya chakula kimeshaiva baada ya kutoka


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni